Skip to main content

SWAHILI QUOTES

"SEMA NA MUNGU KATIKA KILA JAMBO KABLA HUJASEMA NA MTU YEYOTE"
Kwanini?
1. Yeye ni Mungu mwenye wivu.
  • Usimsujudie wala kuvitumikia,kwakua Mimi BWANA, Mungu wako,ni Mungu kwenye wivu (kutoka:20;5)
  • Maana hutamwabudu Mungu mwingine,kwakua BWANA,ambaye Nina lake ni kwenye wive, ni Mungu mwenye wivu. (Kutoka:34:14)
  • Kwakua BWANA, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu. (Kumbuk:4:24)
  • Kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu kwenye wive; isije ika waka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, atakuangamiza kutoka juu ya USO wa nchi. (Kumbuk:6;15)
  • Nami nitalionea wivu Nina langu takatifu. (Ezekiel:39:25)
  • BWNA ni Mungu kwenye wivu, naye hujipiza kisasi.(nahumu:1:2)
(Zakaria:1:14, 8:2)

  • (1wafalme:19:10, 19:14)

  • 2. Ametuahidi lolote tuombalo atatupa kupitia mwanae Yesu Kristo. Haijalishi atakawia muda gani kukujibu, kwani yeye hutoa kilicho sahihi, kwa wakati sahihi na ktk sehemu sahihi. (Ombeni nanyi mtapewa)

    Je, tujiulize Mimi na wewe, tunapokutana na matatizo ni nani wakwanza kumweleza, Mungu au wanada? Majibu tunayo.

    Ukianza na wanadamu unaweza ukamaliza mtaa, kijiji, miji ata nchi, ila ukianza na Mungu atakuonyesha ni yupi atakae kusaidi kwakua Mungu hutumia wanadamu ktk kuwajibu wale wamwombao kwa moyo.

    Epuka usumbufu ( Mweleze Mungu kwanza kabla hujamweleza MTU yeyote kwakua hamna linaloshindikana kwake)

    Tunaposema nimtafute nani au niende kwa nani ili anisaidi, Mungu wetu ujisikia wivu sana nakusema kwanini amempa mwanadamu nafasi ya kwanza. Tuache kumkasirisha Mungu pasipo sababu.

    Ni mimi  J Msimbi
    Usiache kushare na kucomment ktk blog yangu  (Mungunijibu) kuwasaidia na wengine.

    Comments